NAMNA JACKPOT YA SPORTPESA ILIVYOENDELEA KUMWAGA MAMILIONI
Jackpot ya SportPesa imeshika kasi wiki hii baada ya watanzania kushinda mamilioni ya fedha kutoka kila kona ya Tanzania.
Jackpot hiyo kwa sasa imefika Tsh 624,242,540/= ambapo unaweza kushinda kwa Sh 2000/= tu endapo kama utapatia mechi zote 13 kwa usahihi.
Lakini hata ukipatia kuanzia mechi 10, 11 na 12 kuna Bonus kubwa zinatolewa kila wiki. Wiki imeanza vizuri sana kwa Ibrahim Godwin Lucumay ambaye ni mkazi wa Biharamulo baada ya kubashiri na kupatia mechi 12 kati ya 13 na kujinyakulia bonasi ya shilingi milioni 43,154,890/=.
“Nilivutiwa sana kucheza na SportPesa ni malipo papo hapo. Siku moja nilicheza multibet kwenye Kampuni ya SportPesa na Kampuni nyingine ya kubashiri, SportPesa walinilipa baada ya mechi ya mwisho kuisha na Kampuni nyingine
walinilipa baada ya siku 2. Kutoka hapo sikuwahi tena kucheza na Kampuni nyingine ambayo siyo SportPesa.
“Pia kilichonifanya niendelee kucheza na SportPesa ni baada ya kuona Jackpot imefikia milioni 200 ambayo haipo kwenye Kampuni yoyote.
“Matarajio yangu baada ya ushindi huu ni kuongeza kipato kwenye biashara yangu, kwakweli SportPesa imebadilisha Maisha yangu.”
Kwa upande wa SportPesa Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti, Tarimba Abbas alianza kwa kumpongeza Bwana Ibrahim kwa kucheza na kutokata tamaa na hatimaye kuibuka na ushindi wa kiasi cha shilingi millioni 624,242,540/=.
“Huduma zetu kama alivyosema Bwana Ibrahim ni za haraka yani mara baada ya mchezo kuisha pesa huwekwa kwenye akaunti ya SportPesa papo hapo na lengo letu kuu ni kuhakikisha huduma zetu zitatolewa kwa wakati.”
Hata wewe unaweza kuibuka mshindi wa Tsh 624,242,540/= wikiendi hii. Bofya *150*87# au tembelea www.sportpesa.co.tz kucheza Jackpot ya SportPesa uwe Milionea kama brahim Godwin Lucumay.
from SALEH JEMBE
Such a strikingly essential article.I fundamentally wish to offer an animal continue for the standard information you have impeccable here on this post. 파워볼실시간
ReplyDeleteThis is a wonderful article, Given so much info in it, These type of articles keeps the users interest in the website, and keep on sharing more ... good luck. 해외배팅사이트
ReplyDeleteI real glad to uncover this web internet site on bing, just what I was searching for. 세다벳 먹튀
ReplyDeletewhile the more modest jackpots are granted all the more regularly. Truth be told, the Minor and Mini jackpots are granted consistently. trancedance.com
ReplyDeleteIn the years to come, the game would present probably the most liberal jackpots at any point found in the online club world. By 2009, the organization had broken the record for the greatest online jackpot at any point granted, paying out $8.5 million to one fortunate player. agen slot microgaming
ReplyDelete