Breaking News

Nataka kuwahakikishia tumejipanga kuulinda Muungano - Rais Magufuli


Rais John Magufuli amesema Serikali itaendelea kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, umoja na mshikamano.





from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2L8nfJa

No comments