Kikosi cha Simba baada ya kuwasili mjini Musoma leo, kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa Karume kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara utakaopigwa kesho kwenye uwanja huo dhidi ya Biashara United.
from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2VsMauJ
No comments