Breaking News

Picha: Rais Magufuli azindua jengo refu zaidi Mbeya


Rais John Magufuli amezindulia Jengo la NHIF Mbeya Tower. Jengo hili la ghorofa 11 ndio jengo refu zaidi kataka Mkoa wa Mbeya & Nyanda za Juu Kusini. Gharama ya ujenzi ni Tsh 12.9b. Uwepo wa hili jengo ni kielelezo cha dhamira ya serikali kuhakikisha Bima ya Afya kwa kila Mtanzania.






from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2VwXIND

No comments