China yapeperusha bendela nusu mringoti kwaajili ya maombolezo ya kitaifa vifo vya corona
Leo yanafanyika maombelezo ya Kitaifa ya kutoa heshima kwa waliofariki kwa corona China, hapa ni eneo la Wuhan ambapo Wahudumu wa Afya, Familia mbalimbali na Polisi wameungana kwa pamoja kuomboleza, kwa takwimu za asubuhi hii idadi ya vifo kutokana na corona China imefikia 3326.
Bendera zimepeperushwa nusu mlingoti kwenye majengo mbalimbali ya Serikali na binafsi Hongkong, hii ni katika kuungana na Watu wengine China.
Hadi takwimu za asubuhi hii waliofariki kwa corona China ni 3326.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2UHPwsT

No comments