Sadio Mane ajitolea kujenga hospitali kubwa katika mji aliozaliwa nchini Senegal
Nyota wa kabumbu wa kimataifa kutoka Senegal na nyota wa timu ya Liverpool nchini Uingereza amefahamisha kuazna ujenzi wa hospitali kubwa katika mji alipoazliwa nchini Senegal katika juhudi na mchango wake dhidi ya virusi vya corona.
Muakilishi wa mchezaji huyo Bjorn Bezemer amewafahamisha wanahabari nchini Senegal kuwa ujenzi wa hospitali uliofadhiliwa na nyota huyo umeanza katika mji wa Bambali , mji alipozaliwa nyota huyo umeanza.
Bezemer amesema kuwa ujenzi wa hospitali hiyo unagharibu kiwango cha dola milioni 3,5.
Ikumbukwe kwamba Sadio Mane alijenga pia shule katika mji huo.
Rais wa Senegal Macky Sall amepongeza msaada huo wa Sadio Mane.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3bFecru

No comments