VIDEO: Jeshi la polisi lakamata watu sita kwa tuhuma za mauaji ya askari Mkoani Tabora
Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa tabora Lauliani Fabiani akizungumza na wandishi wa habari amesema Watu sita wamekwamatwa na jeshi la polisi mkoa wa tabora kwa kuhusishwa na tuhuma za mauwaji ya asikari wa Jwtz kikosi cha 262 milambo Samweli Machugu Antoni yaliyo fanyika mwanzoni mwa wiki hii maeneo ya kidatu B kata ya ipuli manispaa ya Tabora.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3aKemxF

No comments