Maambukizi ya corona Uganda yafikia 121
Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine watano wa corona wameongezeka nchini humo na kufanya maambukizi kuongezeka hadi kufikia 121, waliopona wamesalia 55 na hakuna kifo
”Kati ya wagonjwa wapya, watatu ni Wakenya na wawili ni Waganda, wote ni Madereva wa Malori”
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2WHQCEJ
No comments