Mgombea wa CCM, Priscus Tarimo wa CCM ameshinda Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini baada ya kupata kura 31,169 akifuatiwa na Raymond Mboya wa CHADEMA aliyepata kura 22,555.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/34DseJG
Moshi Mjini mshindi ni Priscus Tarimo wa CCM
Reviewed by Tanzania Yetu
on
October 29, 2020
Rating: 5
No comments