Breaking News

Patrobas Katambi ametangazwa mshindi wa ubunge jimbo la Shinyanga mjini




 Mgombea wa CCM,  Patrobas Katambi ametangazwa mshindi kwa kupata kura 31  831 dhidi ya kura 16, 604 alizopata mshindani wake Salome Makamba wa Chadema.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/31UHYWC

No comments