Mpanda Mjini: Mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sebastian Kapufi ameshinda nafasi ya Ubunge kwa kupata kura 24,020, akifuatiwa na Rhoda Kunchela wa Chadema aliyepata kura 13,611.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3mxrfRk
No comments