Breaking News

Ramadhani Sima ashinda ubunge Singida mjini


Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo la singida mjini  amemtangaza  Ramadhani Sima wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 23,220 akifuatiwa na Rehema Nkoha wa Chadema aliyepata kura 15,467

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3mumbwU

No comments