BALOZI LIBERATA ATEULIWA KUWA WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa. Ameshika nafasi ya aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Profesa Paramagamba Kabudi.
from MICHUZI BLOG
No comments