Breaking News

AFRICAB YAKABIDHIWA LESENI NA CHETI CHA UBORA NA TBS

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Mhandisi Johanes Maganga akimkabidhi cheti cha ubora, Meneja Usimamizi wa kampuni ya Uzalishaji wa Vifaa mbalimbali vya Umeme ya Kilimanjaro Cables ‘AFRICAB Bw.Shabbir Tinwala

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania Mhandisi Johanes Maganga akimkabidhi leseni ya biashara Meneja Usimamizi wa kampuni ya Uzalishaji wa Vifaa mbalimbali vya Umeme ya Kilimanjaro Cables ‘AFRICAB Bw.Shabbir Tinwala

*****************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Kampuni ya Uzalishaji wa Vifaa mbalimbali vya Umeme ya Kilimanjaro Cables ‘AFRICAB’ imefanikiwa kupatiwa cheti leseni ya ubora kutoka Shirika la Viwango tanzania (TBS).

Kampuni hiyo ambayo inatambulika na Serikali kwa kuzalisha bidhaa zilizobora imekuwa ikiendelea kufanya vizuri na kuwa miongoni mwa makampuni ambayo yanazalisha nyaya zilizo kiddhi viwango vinavyotakiwa.

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika hafla ya makabidhiano ya vyeti na leseni kwa makampuni yanayofanya vizuri katika uzalishaji,


from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/6d9LXpA

1 comment:

  1. SEGA GENESIS - GAN-GAMING
    SEGA https://octcasino.com/ GENESIS. GENESIS-HANDS. 1xbet login Genesis (JP-EU). NA. NA. NA. SEGA GENESIS-HANDS. septcasino.com NA. SEGA GENESIS. https://sol.edu.kg/ NA. goyangfc GENESIS-HANDS. NA.

    ReplyDelete