Breaking News

DKT. JAFO AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE



WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea tena Ubunge katika Jimbo la Kisarawe

Dkt.Jafo amerejesha fomu hiyo kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kisarawe Bi.Josephine Mwanga,mapema leo Juni 29, 2025.

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.


from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/KzuQBaA

No comments