INEC YATOA ANGALIZO KWA CHAMA CHA ACT - WAZALENDO KUHUSU LUHAGA MPINA

Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa na Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. Wawili hao walikuwa wapeperushe bendera ya chama cha ACT WAZALENDO kabla ya kuwekewa pingamizi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuenguliwa katika mbio za kuwania kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.


from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/NIP7i2g
No comments