Breaking News

Florentin Pogba afunguka kuhusu Paul Pogba wa sasa

Florentin Pogba ambaye ni kaka wa kiungo wa Manchester United Paul Pogba, amesema ipo wazi kwa sasa kwa mdogo wake ana furaha akiwa mikononi mwa Ole Gunnar Solskjaer.

"Namna gani kwa sasa Pogba anavyoweza kuonyesha uwezo wake tofauti na alipokuwa na Mourinho. Chini ya meneja mpya naona anakuwa na mabadiliko kila iitwapo leo.

"Kuhusu mahusiano yake na Jose Mourinho, sihataji kujua namna iliyokuwa na sitajua tena hali ilikuje na wala sikuwahi kumpigia simu kumuuliza juu ya mwalimu wake, hata sasa pia sijafanya hivyo juu ya Ole, ila kinachotupa majibu ni kupitia matokeo ambayo yanaonekana," amesema.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2NDiF3j

No comments