Jambo muhimu unalotakiwa kuelewa kuhusu mafanikio
Katika maisha ili uweze kuwa bora zaidi ya hapo ulipo sasa kwa kila jambo ulifanyalo kumbuka kuitumia kanuni ya 80/20.
Kanuni hii ni muhimu sana kwa sababu watu wengi ambao wamefanikiwa katika ulimwengu huu ndiyo ambayo huongoza maisha yako ya kila siku.
Kanuni hii inasema kuwa asilimia ishirini (20%) ya mambo unayofanya hakikisha yanaleta matokeo yenye asilimia Themanini (80%).
Kama umeamua kweli kufanya jambo fulani basi fanya jambo hilo huku ukizingatia kanuni hii ya 20/80.
Kama ni muda basi tumia asilimia ishirini ya muda wako katika uzalishaji wako huku matokeo ya jambo hilo iwe ni asilimia themanini.
Wengi wetu maisha yetu ni yale yale hii ni kwa sababu tunatumia kinyume cha kanuni hiyo, yaani tunatumia 80/20.
Tunatutumia nguvu nyingi sana katika kufanya mambo yetu lakini matokeo yake tunapata kiduchu sana, kitendo hiki ndicho kinachotupelekea tundeendelea kutaabika.
Hivyo kinachotakiwa kufanyika katika maisha haya, tunatakiwa kuelewa kuwa ili tuweze kufanikiwa zaidi ya hapa ambapo tupo sasa tunatakiwa kuelewa kwamba mafanikio hutokana na kanuni ya 20/80 na siyo 80/20
Endelea kutembelea Muungwana Blog
Na. Benson Chonya.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2U8eCyl

No comments