Rais Omar al Bashir apiga marufuku maandamano
Rais wa Sudan Omar al Bashir amepiga marufuku maandamano na mikusanyiko ambayo haikuruhusiwa kisheria nchini Sudan. Migomo na maandamano dhidi ya serikali vimepigwa marufuku kote nchini Sudan.
Taarifa iliotolewa mwishoni mwa juma imefahamisha kwamba maamuzi mengine kuhusu hali ya dharura , moja wapo ni kupigwa marufuku kwa maandamano ambayo hayakurusiwa kisheria.
Hali ya dharura ilioatangazwa imefahamisha kwamba watu watakaokamatwa na hati ya kukiuka sheria watafikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
Makundi ya waandamanaji mali zao zitazuiliwa hadi baada ya hukumu kuchukuliwa.
Sudan imekumbwa na maandamano ambayo yalianza kwa lengo la kupinga kupanda kwa bei za bidhaa mahitaji.
Asasi za kiraia nchini Sudan zimekemea matumizi ya nguvu ya jeshi la Polisi katika kukabiliana na waandamanaji.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2NA6ioA

No comments