Breaking News

VIDEO: Balaa Mvua ya mawe Arusha yazua gumzo

Leo katika jiji la Arusha Sintofahamu imetokea baada ya mvua yenye barafu na mawe kunyesha kwa takribani lisaa limoja wananchi wakiwa wanashangaa jambo ambalo bni nadra sana kutokea.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 


from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2BSq227

No comments