Breaking News

VIDEO: Makamu wa Rais akerwa na uchafu Tabora

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh .Samia Hassan suluhu leo ameendesha kongamano la mazingira mjini Tabora  huku akibainisha kuwa  licha ya juhudi kubwa ambazo  zimefanywa na serikali ya mkoa huo    katika zoezi zima la upandaji wa miti  ili kuunusuru mkoa wa Tabora kugeuka jangwa lakini  bado hali ya usafi wa mazingiara  si ya kuridhisha kutokana na maeneo mengi kwenye mkoa huo kuwa ma chafu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2U4ybHv

No comments