Waziri Pompea aesema siku za Maduro zinahesabika
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema ana uhakika kwamba siku za Maduro zinahesabika.
Mike Pompeo alikuwa akizungumzia hali ya Venezuela katika kipindi kimoja kinachorushwa na kituo cha CNN.
Pompeo alisema jamii ya wavenezuela wataifikia demokrasia na kwamba juhudi za maandamano zinazofanywa na wale wanaohitaji misaada zitaandelea, Lengo pekee la Marekani ni kuona demokrasia inapatikana nchini Venezuela.
Pompeo aliongeza kwamba Marekani itaendelea kumuunga mkono Rais wa muda aliyejitangaza mwenyewe Juan Guaido, Na kulitaka jeshi la Venezuela kuacha kutumika dhidi ya wananchi wa Venezuela.
Rais wa Marekani Donald Trump anaangalia suala la Marekani kutuma jeshi nchini Venezuela kama moja ya utatuzi wa changamoto nchini Venezuela.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2BRdFmK

No comments