Ninja wa Yanga kafungiwa na TFF
Kamati ya Nidhamu ya TFF, imemtia hatiani mchezaji wa Young Africans Abdallah Shaibu kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa timu ya Coastal Union, Kamati imempa adhabu ya kufungiwa kutocheza mechi tatu mfululizo/zinazofuatana kwa mujibu wa kifungu cha 48(1)(d) cha Kanuni za Nidhamu TFF.
Haki ya kukata rufaa iko wazi
from ShaffihDauda https://ift.tt/2HqUzHO
No comments