Breaking News

Ramos akiri alifanya makusudi.

Sergio Ramos amesema kitendo cha kupewa kadi ya njano ya makusudi ni kosa kubwa kuwahi kulitenda.Ramos alipewa kadi ya njano kwenye mechi dhidi ya Ajax kwenye klabu bingwa Kule uholanziAmekubaki kubeba lawama zote waka hana kipingamizi kwa hilo.Hata hivyo Ramos ameeleza kuwa kiwango cha timu hiyo kwa ujumla sio cha kuridhisha.Amesema hakuna namna ya kujificha kwa matokeo mabovu ya Madrid. Ni kosa la wachezaji wenyewe. Lakini yeye ndiye mhusika wa kwanza kama kiongozi.


Rio Ferdinandi “Ramos ndiye beki bora duniani kwa sasa. Hakuna kama yeye”
Alipoulizwa kuhusu kuongea na bossi (Perez) au mwalimu na kumpa ushauri au maono, Ramos amekiri ana uhuru huo na nafasi hiyo ipo.”Ndio, nakutana nao, tunaelezana ukweli yanaisha”Vipi ana mipango ya kuhama Madrid?”Kwanini nisiondoke? Kama nitaambiwa niondoke, wanilipe changu tu nasepa.


from ShaffihDauda https://ift.tt/2THd80J

No comments