Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ashuhudia mpira kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2L7gAPo
Picha: Waziri Mkuu ashuhudia mpira wa Wabunge Dodoma
Reviewed by Tanzania Yetu
on
April 27, 2019
Rating: 5
Kwa mara ya saba mfululizo tunakuletea Atlas Schools Half Marathon 2025 itakayofanyika Tarehe 14/10/2024* (NYERERE DAY)* katika viwanja vya Atlas Schools Madale. Jisajili sasa kushiriki kwa ada ya Tshs 35,000/= tu na utapata Tshirt, Medal, Wristband na burudani kemkem ikiwepo nyamachoma na Live band. Zawadi nono kutolewa kwa washindi na washiriki wote kwa ujumla. Unaweza kufanya usajili sasa kwa kulipia ada ya ushiriki Tshs 35,000 katika Lipa Namba ya Tigo 5927380 Atlas Schools kisha ukatuma taarifa zako za size ya Tshirt, umbali utakaokimbia katika namba 0787651656 au namba 0715651656. Wahi sasa kufanya usajili kwani Mbio ni ya Viwango na nafasi ni chache Mnno. "Protect nature, preserve the future"
No comments