Breaking News

Milioni 30 zakopeshwa kwa vikundi 19 vya vijana


Mkuu wa wilaya Nachingwea, HASHIM KOMBA awapongeza vijana ziadi ya 150 walionufaika na mkopo wa mapato ya ndani ya halmashauri hiyo kwa kuamua kujifunza ufundi wa ujenzi wa barabara na kuelekeza kazi zote zitakazotokea zenye uhitaji usaidizi kiufundi vijana hao wapewe kipaumbele.

Jumla ya milioni 30 zimekopeshwa kwa vikundi 19 vya vijana,wanawake na wenye ulemavu, wilayani humo, ambapo vijana wametumia mkopo huo kulipa ada ya mafunzo ya ufundi wa ujenzi wa barabara na kununua vifaa mbali mbali vitakavyotumika kwa shughuli hizo.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2USTz4d

No comments