Breaking News

Mwili wa Marin Hassan Marin kuzikwa leo Zanzibar


MWILI wa mwanahabari nguli wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC, Marin Hassan Marin, unatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao visiwani Zanzibar.

Marin alifariki april mosi katika hospital ya Lugalo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua ghafla kuanzia saa 12 asubuhi na mida ya saa tatu kasoro ndipo umauti ukamkuta.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2ysGSWq

No comments