Watu 63 wafariki kwa virusi vya corona ndani ya saa 24 Uturuki
Wizara ya afya ya Uturuki imetangaza vifo vya watu 63 na kufanya idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona kuongezeka na kufikia watu 277.
Watu 14 396 wamepimwa virusi vya corona, miongoni mwao wamegunduliwa kuwa na virusi hivyo na kufanya idadi ya watu walioathiriki nayo kuongezeka na kufikia watu 15679.
Akizungumza kuhusu wito wa kutotoka nje, waziri wa afya wa Uturuki Fahrettin Koca amesema kuwa mapambano dhidi ya Covid- ni vita tosha katika wizara ya afya na virusi.
Kwa upande mwingine , waziri Koca amefahamisha kuwa watu 333 wamepona baada ya upatiwa matibabu.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2WZP8aq

No comments