Watu 73 wafariki ndani ya masaa 24 kwa Covid-19 Uturuki
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona nchini Uturuki yazidi kuongezeka.
Watu 73 waripotiwa kufariki ndani ya masaa 24 kwa virusi vya corona nchini Uturuki.
Kutokana na vifo hivyo, idadi ya watu waliofariki yaripotiwa kuongezeka na kufikia watu 574.
Ndani ya masaa 24 watu 73 wameripotiwa kufariki Uturuki.
Watu 3135 wamegunduliwa kuwa na virusi vya corona miongoni mwa watu 20 065 waliopimwa.
Watu 256 wameripotiwa kupona Covid-19 baada ya kupatiwa matibabu.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2RfYfAi
No comments