Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ampa pole waziri mkuu wa Uingereza
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ampa pole waziri mkuu wa Uingireza Boris Johnson baada ya kulazwa hospitali.
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amezungumza na Dominic Raab kwa njia ya simu muda mchache baada ya Boris Johnson kutangazwa kuwa amepelekwa hospitali kutokana na virusi vya corona.
Taarifa iliotolewa na ofisi ya waziri ya mambo ya nje wa Uturuki imesema kuwa Çavuşoğlu amempa pole waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson na kumtakia afya njema baada ya matibabu.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/34djwzP
No comments