Breaking News

UGANDA: Maambikizi ya jumla ya corona 116



Wizara ya Afya Uganda imesema maambukizi ya jumla ya corona yameongezeka na kufikia 116 nchini humo, waliopona bado ni 55 na hakuna kifo. “May 09,2020 waliongezeka wagonjwa wapya wawili ila May 08,2020 waliongezeka wagonjwa 13 wakiwemo Wakenya 7, Waganda 4 na Watanzania wawili”

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2Wjp2P2

1 comment: