Mbunge aliyekuwa anatetea kiti chake katika jimbo la Segerea kupitia CCM Bona Kamoli ametangazwa kushinda baada ya kumshinda mpinzani wake John Mrema wa CHADEMA kwa kura 76,828.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3mC5OP2
Bona Kamoli ashinda ubunge jimbo la Segerea
Reviewed by Tanzania Yetu
on
October 30, 2020
Rating: 5
No comments