Breaking News

FIFA yatangaza msimamo wake kwa wachezaji wanaomaliza mikataba yao

Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA baada ya kuwa katika hali ya sintofahamu kwa vilabu mbalimbali vya soka kutokana na kusimama kwa Ligi huku baadhi ya wachezaji wao wakiwa wanamaliza mikataba.

Leo limetoa ufafanuzi, vilabu ilikuwa vinawaza kama Ligi awali kabla ya kusimama kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona ilikuwa imalizike May na wachezaji wengine walikuwa wanamaliza mikataba yao mwisho wa mwezi Mei kwahiyo msimu wangemaliziaje?

FIFA imeeleza kuwa kutokana na changamoto iliyojitokeza ni wazi sasa wataruhusu kuwa ili mkataba wa mchezaji na klabu uhesabike umemalizika kwa msimu huu, Utahesabika pale tu msimu wa mashindano 2019/2020 utakuwa umemalizika.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2VfpRXi

No comments