Breaking News

Golikipa wa timu ya Aston Villa asimulia alivyoteswa na virusi vya corona


Golikipa wa timu ya Aston Villa Pepe Reina ambayo anachezea mtanzania Mbwana Samatta amesimulia jinsi  ugonjwa wa homa ya mapafu Covid 19  ulivyomtesa.

“Kikohozi kikavu, kichwa kuuma mfululizo, mwili kuchoka, lakini kitu kilichonitisha zaidi ni kukosa hewa ya oxygen kwa dakika 25, ilikuwa ni kama vile koo limeziba na hewa haiwezi kupita”, Golikipa wa Aston Villa, Pepe Reina akiwa ameanza kupata nafuu ya ugonjwa wa #Covid_19



from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3dNfgLW

No comments