Uganda yatoa msaada wa chakula kwa raia milioni 1.5 Kampala
Uganda imeanza jana kugawa msaada wa chakula kwa raia milioni 1.5 walio katika mazingira magumu zaidi ambao wameathirika na hatua ya kusitishwa shughuli katika mji mkuu Kampala ili kudhibiti virusi vya corona.
Msafara wa malori sita yaliyokuwa na mifuko ya unga wa mahindi, maharage na chumvi ulianzishwa na mawaziri wa serikali na kuelekea kitongoji cha Bwaise.
Idadi ya jumla ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona nchini Uganda ni 48. Hakuna kifo kilichotokea mpaka sasa.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3dVKbFJ

No comments