Breaking News

CHATANDA: MSIDANGANYIKE NA WAHUNI WACHACHE WA MITANDAONI



Na Mwandishi wetu, Katavi

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), amewataka wananchi wa kitongoji cha Nkumbi, kata ya Kapalala, kupuuza upotoshaji unaofanywa na watu wachache mitandaoni wanaolenga kuondoa amani na mshikamano uliopo nchini.

Chatanda ameyasema hayo leo tarehe 19 Oktoba 2025, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kitongoji cha Nkumbi, kata ya Kapalala, Jimbo la Nsimbo, Mkoa wa Katavi.


from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/pdwqsuM

No comments