Kwa mara ya saba mfululizo tunakuletea Atlas Schools Half Marathon 2025 itakayofanyika Tarehe 14/10/2024* (NYERERE DAY)* katika viwanja vya Atlas Schools Madale. Jisajili sasa kushiriki kwa ada ya Tshs 35,000/= tu na utapata Tshirt, Medal, Wristband na burudani kemkem ikiwepo nyamachoma na Live band. Zawadi nono kutolewa kwa washindi na washiriki wote kwa ujumla. Unaweza kufanya usajili sasa kwa kulipia ada ya ushiriki Tshs 35,000 katika Lipa Namba ya Tigo 5927380 Atlas Schools kisha ukatuma taarifa zako za size ya Tshirt, umbali utakaokimbia katika namba 0787651656 au namba 0715651656. Wahi sasa kufanya usajili kwani Mbio ni ya Viwango na nafasi ni chache Mnno. "Protect nature, preserve the future"
No comments